This blog contains information about what is happening in energy access development in Tanzania. You are welcome to give your thoughts and ideas on the issues published. Thank you.

Monday, October 22, 2007

Akina Richmond Wengine Kuja Kuwekeza Bongo?

Akina Richmond Wengine Kuja Kuwekeza Bongo?

Matatizo ya umeme nchini huenda umekaribia kikomo baada, ya Serikali kukaribisha wawekezaji kama hakutakuwa na longolongo kama zilizojitokeza kipindi cha nyuma.

Rais JK amewambia wafanyabiashara wa Italia kuwa ni ruksa kwao kuja kuwekeza katika umeme ili kulipiga tafu Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO).

JK Alisema hayo wakati akizungumza na wafanyabiashara hao kwenye mkutano wa wawekezaji wa Tanzania na Italia, ukiwa ni mwendelezo wa jitihada zake za kutafuta wawekezaji wa ndani na nje.

Uwekezaji kwa upande wa nishati Mashirika mengi yaliibuka na kujikuta ni vimeo katika utekelezaji hali inaweza ikawa ni ileile?

Akina Richmond Wengine Kuja Kuwekeza Bongo?

No comments: